Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, DINNING, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI 
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA 
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 280,000/= KWA MWEZI 
_____________________________
*ANGALIZO*
==========
*HII NYUMBA ITAFANYWA MALEKEBISHO PINDI MTEJA AFANYAPO MALIPO
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI



















