Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE/BUCHA
KODI 200,000 X 6
SIFA ZAKE
VYUMBA VIWILI VYA KULALA(kimoja master),
SEBULE WASTANI,
JIKO(open kitchen),
PUBLIC TOILET,
UMEME NA MAJI MITA INAJITEGEMEA,
MAJI YANAFLOW CHOONI NA JIKONI,
HAINA FENSI NA GARI HAIFIKI.
LOCATION NI KIMARA KOROGWE/BUCHA WASTAN WA DK 12 KWA MGUU TOKA MWENDOKASI,USAFIRI NI BODA BUKU.
SERVICE CHARGES
20K KUONYESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI UKILIPIA NYUMBA
##0655256419



















