Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAJITEGEMEA FENSI
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
BAJAJI 700/
=====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710