Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kisima, Kilimanjaro


INAPANGISHWA NGARAMTONI YA JUU UKIPITA BY PASS  ARUSHA 
NYUMBA NI NZURI IPO SEHEMU PATULIVU
🔹️Ni nyumba yenye room mbili  za kulala moja  mastter
🔹️Ina sebule 
🔹️Ina jiko lenye makabati 
🔹️Ina public toilet na bathroom
🔹️Ina heater ya maji moto
🔹️Ina parking
🔹️Inajitegemea upande wa mbele
🔹️Ina electric fance
🔹️Ina kisima piaa
🔹️Bei 350,000 kwa mwez
Na kuna kidipost 
👉Call 0758105801



















