Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mapinga, Pwani







🌟APPARTMENT YA ROOM 2 - MAPINGA🌟
🏘️ Zipo nyumba 4 ndani ya fensi
📍 Eneo: MAPINGA
🔹 Vyumba 2 Vya Kulala (1 Master)
🔹 Sebule 🛋️
🔹 Jikoni 🍽️
🔹 Choo cha Public 🚽
🔹 Maji ya DAWASCO 💧 (Unajitegemea)
🔹 Umeme wa LUKU ⚡ (Unajitegemea)
💸 Kodi: 250,000/=kwa mwezi(Malipo kuanzia Miezi 6)
🧾 Service Charge: 20,000/=
📲 Wasiliana: 0687800788 / 0713958395