Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mateves, Arusha


Nyumbaa mpyaaaaa❗️❗️❗️🔥🔥
🔹️Zinapangishwa mateves jirani na  arusha airport
🔹️Nyumba zote mbilii muundo ni mmoja (zinafanana)
🔹️vyumba vya kulala ni vikubwa 
🔹️Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
🔹️Ina makabati vyumbani 
🔹️Ina sebulee kubwaa 
🔹️Ina open kitchen 
🔹️Ina public toilet
🔹️Ina  heater ya maji moto
🔹️Ina parking kubwa
🔹️Kila nyumba inajitegemea umeme na maji
🔹️Kila nyumba ina tank lake la maji.
🔹️Nyumba zipo ndani ya geti
🔺️Bei 400,000/= kwa mwez
🤗Call 0758105801


















