Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







#APARTMENT YA KUPANGA KİFAMİLİA İNAPANGİSHWA
#UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
#UMBALI WA KUTEMBEA DKK 10-12 KUTOKA STAND
#Vyumba 2 vikubwa sana
#Sebule kubwa sana
#Jiko kubwa lenye makabati zuri
#Choo cha familia
#Aprtment zipo 3 ndani ya fensi Parking ipo na usalama wa kutosha kwa mali zako
#Maji na Umeme submeter
#ipo ndani ya fensi parking ipo ya gari
#Kodi 350,000/= × 6
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347



















