Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000X6) MBEZIMWISHO NJIA YA ZONE...
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA ZONE NI DK 15-20 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
💥 NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024