Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA AU KIMARA TEMBON ŹOTE NJIA UMBALI WA KM 1.5..
PIGA SIMU 0755831740
NYUMBA 2 MPYA ZIPO KWENY FENSI PARKING YA KUTOSHA HAPA
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA MAKABATI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
PUBLIC TOILET
UMEME WAKE
MAJI MITER YAKE
PEVING BLOCK
PARKING
BEI NI 350,000 ILPWE MIEZ SITA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000