Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 500000K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1000
BARABARA NZURI SANA
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
SEBULE
JIKO LA KISASA
CHOO CHA PABILIKI
ZIPO NYUMBA 4 KWENYE
FENSI MOJA
UMEME MAJI KILA
NYUMBA INAJITEGEMEA
NYUMBA NI MPYA
KUPELEKWA KUONA 20000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA
KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0789352273
0716171830