Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko Public toilet
Slide window.
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000 Γ6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARAπΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π