Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Miganga, Singida


Aina
Nyumba
Vyumba
2
Maelezo
⚜️ 2 Bedroom Apartment Kali Sana
⚜️ Mahari 👉 Miganga Dodoma
⚜️ Umeme unajitegemea
⚜️ Maji Muda Wote. ( Kisima )
⚜️ Wapangaji wawili Tu.
💰 Kodi 300,000/=
⚜️ Km Nne kutoka SGR station
⚜️ Km Tatu Kutoka Lami
☎️ 0787037986
☎️ 0757037986




















