Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha


NYUMBA MPYA CLASSIC SANA INAPANGISHWA MOSHONO ARUSHA
Ina Room Mbili Zakulala Moja Master
Ina Sebule
Ina Dinning
Ina Jiko lenye Makabati
Ina Public Toilet
Ina Parking kubwa
Ina Heater System
Bei 600,000 kwa mwezi miezi mitatu inapokelewa
.
Contacts - 0683545452
Instagram - dalalidavearusha
.
#arushanationalpark #arushatanzania #houseforrent #dalalidavearusha #dalaliwanyumbazakupangaarusha


















