Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VIWILI (VYOTE MASTER), SEBULE NA JIKO, CHOO CHA NDANI PUBLIC, FENI VYUMBA VYOTE.
INAJITEGEMEA UMEME NA TENKI LA MAJI. NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
KODI: 200000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI KWANZIA MITATU.
LOCATION: PUGU BAGDAD.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.