Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO. MAJI DAWASA MITA INAJITEGEMEA NA UMEME UNAJITEGEMEA.
MAREKEBISHO YA RANGI YANAFANYIKA.
LOCATION: PUGU KWA RAIS
KODI: 180000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI 6.
Au 200000 KWA MIEZI MI3
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.