Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Sakina, Arusha


INAPANGISHWA SAKINA ARUSHA
IPO KARIBU NA BARABRAA SANAA
NI NYUMBA YENYE ROOM MBILI ZA KULALA
HAINA MASTER
INA JIKO
INA SEBULEE KUBWA
INA PUBLIC TOILET NA BATHROOM
INA PARKING
UMEME UNAJITEGEMEA
WAPANGAJI WAWILI TU
BEI 250,000/= KWA MWEZ
CALL 0758105801