Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Soweto, Kilimanjaro


NYUMBA INAPANGISHWA
LOCATION SOWETO
KODI 250000*6 PLUS MWEZI MMOJA WA DALALI
📌ANAHITAJIKA MTU ASIE NA WATOTO🤣
📌SEBULE
📌JIKO
📌VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
📌UMEME WAKO MWENYEWE MAJI MNASHARE
📌NDANI YA GETI NA INA UKUTA KARIBUNI
luluz_kitchen_decor


















