Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







HIZI NYUMBA NZURI ZINAPANGISHWA
BEI
TSH. 600000K
KODI LAKI SITA MALIPO KUANZIA MIEZI SITA
LOCATION
TABATA KINYEREZI MWISHO KUTOKA STAND DK 8 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
VYUMBA VIWILI VYA KULALA, KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
DINNING
PUBLIC TOILET YA NDANI
HEATER
FULL AC
IPO NDANI YA FENSI, PARKING SPACE KUBWA, PEVING BLOCK NA INA GARDEN
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA.
WASILIANA NASI;
0684217177, 0716834095