Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KUPANGA INAPANGISWA KODI 500,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_______________
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO FULL MAKABATI
TOILET BUPLICE NDANI
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
DILISHA ALUMINIAMU
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
BALABALA YA GARI RAFIKI KWA GARI ZOTE
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347