Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


NYUMBA 2 NDANI YA KIWANJA KIMOJA Z I N A U Z W A TZS 370 MILIONI MAONGEZI YAPO
LOCATION KIJITONYAMA DAR ES SALAAM TZ
1 NYUMBA MOJA NI HIYO GOROFA
2 NYUMBA NYINGINE NI HIYO YA CHINI YA VIGAE VYEKUNDU NA PIA KUNA SERVANT QUATA YA VYUMBA 2
PANAFAA KUJENGA APARTMENT LODGE NK
UKUBWA WA ENEO SQM 520
DOCUMENT HATI MILIKI YA WIZARA YA ARIDHI
BEI TZS 370 MILIONI MAONGEZI YAPO
NIPIGIE 0784156583/ 0627885467
WHATSAPP
0656011897
KUPELEKWA KUONYESHWA 30 OOO