Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kiluvya, Pwani


NYUMBA YENYE VYUMBA VIWILI(2) TSHS.35 MILIONI, KILUVYA.
Inaangalia Barabara ya Morogoro.
Ina vyumba 2 ( Masta 1) Sebule na Jiko.
Pia kuna banda la vyumba viwili lililojitenga.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
KIWANJA KIMEPIMWA (Mawe ya Wizara yapo)
Kutoka Mbezi mwisho Nauli ni Tshs.500 tu.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+256714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.