Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA KOROGWE IMEBAKIA MOJA TU 
=================
KODI NI 900,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
================
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1 
====================
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.3
================
SIFA ZAKE 
===========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI 
==================
TILLES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL GARDEN FULL PARVING BLOCKS 
================
FULL A/C
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI 
==============
METER YA UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA PIA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI 
=================
NB:
NYUMBA NI MPYA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA 
SERVICE CHARGE NI TZS.20000 
================
CONTACT:: 0672 673363



















