Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA INAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 01/07/2025
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA KABATI
#CHOO KIZURI CHA FAMILIA 
#STORE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING ZINAWEKWA
#FULL ICE
#HITER MAJI MOTO 
#CCTV CAMERA
#ELECTRICK FANCE 
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI
0715949085



















