Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA PAGALA (UNFURNISHED HOUSE) INAUZWA BINAFSI
IPO KIMARA SUKA GOLANI DAR-ES-SALAAM-TZ
INA ROOM 2 ZA KULALA, KIMOJA SELF, SEBULE, JIKO, CHOO
UKUBWA NI SQM 450
BEI MILIOINI 30 MAONGEZI KIDOGO
Usafiri bajaji 1000 tu kutoka moro road
GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE NI SH 50,000
TUWASILIANEx0677370515



















