Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA, VYUMBA 2, TSHS.35 MILIONI, KIVULE/MSONGOLA.
Hii nyumba ipo nyuma ya Kiwanja
Ipo nafasi yakutosha ya kujenga nyumba kubwa zaidi au kama hiyo iliyopo kadhaa.
Ndani ya Fensi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.570.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kuna Kisima cha Maji.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 71 4 591 548
______________mskv