Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA/APPARTMENT MBILI BORA NA NZURI ZINAUZWA ILAZO EXTENSION JIJINI DODOMA
Mahali; iIazo EXTENSION
Eneo ukubwa; 560 sq.m
Sifa; Zina vyumba viwili KILA MOJA
Sebule, Dinning
Jiko, Store
Public toilet
Maji/Umeme upo
Zipo ndani ya fensi
Zina ELECTRIC FENCE
WATER RESERVE TANK
Zipo jirani lami
Zina HATI
Bei; 165,000,000/= ( milioni mia moja na sitini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"