Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki WhatsApp 0652 618 143 0759 203175
Boss wangu hii ni nyumba nzuri sana ya kisasa kabisa
Njoo nkuzie kwa bei rafiki kabisa tsh mil 88 tu
Nyumba hii mbagala maji matitu jiji la dar es salaam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa maji matitu (A)
Ina vyumba vnne vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina stting room na dainingi room Ina jiko na store
Ina maji na umeme upo wa luku Ukubwa wa eneo sqmt t550
DOCUMENTS Safi za mauziano ya office ya serikali ya mtaa