Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam




Nyumba inauzwa nyumba ipo mbezi malamba mawili shule ya msingi
Nyumba ni ya vyumba 2 sebule jiko chumba master publc
Nje kuna boycoter ya chumba na sebule na single room ambazo zinatumika ila nje plasta Bado
Eneo sqm 300
Bei Mil 25
Nyumba ipo miter 400 kutoka barabara ya zege itokayo malamba kuelekea kwa msuguli
Maongezi yapo karibu sana mteja