Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba Nzuri Inauzwa
Mahali: Mbezi Beach Jogoo
Bei: Milioni 130 (Mazungumzo)
☑️Ukubwa: Sqm302
☑️Nyumba Kubwa: Vyumba Viwili, Kimoja Master Sebule, Dining, Jiko & Choo
☑️Kota: Chumba Kimoja Sebule Jiko Choo
☑️Hati Miliki Imenyooka
☑️Umbali: Km1 Kutoka Bagamoyo Road, Barabara Ipo Freshi
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate.
Ofisini: Sinza Palestina (Kwa Babu Sea)
Call & Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988, 0622651649, 0650659988
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterRealEstate #MasterMijengo #DalaliMasterTz #WhereLuxuryMeetsLifestyle



















