Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Sakina, Arusha


NYUMBA SAKINA ARUSHA 
🔹️NI NYUMBA CLASSIC SANA 
🔹️ haulipi maji na mlinzi
🔹️Ina room mbili za kulala moja master
🔹️Ina kabati chumbani 
🔹️Ina sebulee kubwaa
🔹️Ina dinning
🔹️Ina jiko kubwaa lenye makabati
🔹️Ina choo cha public
🔹️ina store 
🔹️Ina heater ya maji mot
🔹️Ina parking 
🔹️Nyumba ipo lami kabisaa
🔺️Bei 500,000/=kwa mwez
Call 0758105801



















