Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Sinza, Dar Es Salaam


STAND ALONE
@
Inapangishwa
@
Bei 350.000 // 300.000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Mahali sinza lego
@
Nj nyumba 6 vyumba 2 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Ipo kwenye fensi no parkingi
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687