Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #130K
===
Chumba cha kulala sebule jiko na public toilet ndani
===
Kodi 130,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali KM 1 Lami to Lami Bajaji zipo
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0785889413🔥🔥



















