Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #200k
====
Chumba cha kulala
Sebule kubwa
Choo ndani
Jiko kubwa
=====
Bei:200,000 Kwa mwezi × 6
==
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon . Ndani ya fence parking IPO wapangaji 2 tu
===
Umbali KM 2
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0713661530_0783661530



















