Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(170,000 × 6) KIMARA SUKA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= × 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA NJEE
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YAKO
#MAJI DAWASA MITA YAKO NA YNAFLOO NDANI
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
💰BEI NI 170,000/= × 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA
NI HII NJIA INAYOJENGWA LAMI KUTOKA KIMARA SUKA STAND
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.8
USAFIRI BAJAJI 800
BODABODA 1000 NJIA MKEKA
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300



















