Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 200,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258