Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI
#PAVING BLOCK
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
โผ๏ธZIPO APARTMENT 3 TUU NA HII MOJA YA CHINI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.