Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
✨️Kila Apartment Ina Geti Lake
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
Price: 650,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Dinning Room Kubwa
✅️Vyumba V3 Vikubwa Vya Kulala
✅️Vyumba Vyote Ni Master Bedroom
✅️Kitchen With Cabinet
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Vyumbani Full A/c
✅️LUKU Independent
✅️Water Meter Independent
✅️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Available 🚘
✅️Good Environment 👍
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp