Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya chumba master na Sebule kubwa (200,000) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 200,000 Γ 5,6
πΉπΏ KUHUSU MIEZI NJOO TUONGEE NA MMILIKI HANA SHIDA
π₯ APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO
(SOMA MAELEZO KWA UMAKINI)
#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI SANA
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PAVING
#CAR PARKING
ποΈAPARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU
AU UKIPANDA BAJAJI SH 500 UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
π° BEI NI 200,000 Γ 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300