Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KWA SASA IPO WAZI
PIGA SIMU 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 1
BODA 1000
 KODI 230,000X4x5x6
NI CHUMBA MASTER  SEBULE KUBWA NA JIKO LAKE NA TOILET PUBLIC YA NJE 
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI NA BARABARA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI  YAKO PIA YANA FLOW NDANI 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530




















