Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
BADO MPYAA 🔥
MASTER BEDROOM
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 *KODI YAKE 100K X6 //*
*ILIPWE LAKI MOJA KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI SITA.*
#MASTER BEDROOM ''SINGLE''
#TILES
#GIPSUM
#ALMINIUM
#UMEME SHARE WAWILI
#METER YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
#FULL PAVING..
🏘️APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=
SERVICE CHARGE 15K
*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.*
NOTE::: NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENCE, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA 📌
🏡🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA.
#0710614924
#0688653940