Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







——
NEW NEW APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA ZIMABAKI MBILI TU ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA