Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) APARTMENT HII IPO NJIA YA KIMARA TEMBONI INAYOELEKEA GOBA NJIA NNE
KOTE USAFIRI UPO WA BAJAJI AU BODABODA
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI 250,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 250,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU (200,000/= )
💫💫 APARTMENT HII IPO NJIA YA KIMARA TEMBONI INAYOELEKEA GOBA NJIA NNE
BAJAJI KUTOKA KIMARA TEMBONI ZIPO
NA BAJAJI KUTOKA GOVA NJIA NNE ZIPO
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300