Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 200,000X6)APARTMENT CLASSIC FOR RENT ,
#LOCATION KIMARA SUKA IPO UMBALI WA
KM 1,5
USAFIR BAJAJI 1000 BODA 1000
NA UKISHUKA UPONDANI
CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEBULE# KUBWA SANA JIKO SAFI
UMEME MAJI INAJITEGEMEA
IPO NDANI FENS PARKING SPACE IPO
NYUMBA NI NZUR SANA MAZINGIRA MAZUR
NJOO TEMBEA NAHELA USIJE JUTIA
IPOWAZI WAHI🏃🏃🏃
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0765-494343
0683-387747