Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA  INAPANGISHWA KODI TSH 170,000x5x6
SIO YA KUKOSA NDUGU MTEJA UTAJILAUMU BEBA PESA KABISA
 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO LA PEMBENI ZURI
LUKU INAJITEGEMEA
PAVING
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI MSELELEKO KABISA NI 170K X 5
APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
 KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI PKPK SH 1000 
NB IPOWAZI
KUPELEKWA SITE  15,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1 
What saapp number 0689-547258



















