Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KODI TSH 150,000X6 MAONGEZI FIKA UONE
MAHALI ILIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 10 KWA MGUU
NI CHUMBA MASTA NZURI SANAA MPYAA MPYAA NA KIBALAZA CHA JIKO UNAZINDUA MWENYEWE
MADIRISHA SLYD WINDOWS FENI
NDANI FENSI USALAMA WAKUTOSHA
UMEME MITA YAKO MWENYEWE
WAHI CHAPU ๐โโ๏ธ๐ฅ๐บ๐ NYUMBA ZA KARIBU HAZIKAI
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐
What saapp number 0689-547258