Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







130,000 X 6 APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1 DAKIKA 15 KWA MGUU
SIFA YA NYUMBA NI
Chumba master na sebule kubwa sana
Inajitegemea umeme NA maji
NYUMBA IPO NDANI FENCE PARKING KUBWA
USAFIRI BAJAJI SH 700K UKISHUKA DAKIKA 3
BODABODA SH 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA
CALL 0659244543
☆☆☆☆☆☆☆