Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HII APARTMENT MPYA KABISA NZURI SANA ZA KISASA
INA Vyumba v2 kimoja master sebule choo cha public na jiko inajitegemea umeme na maji
Full tails gypsum windows sliding maji ya DAWASA yapo masaa 24 yanatoka ndani nyumba zipo ndani ya fence Peveng blocks parking space ipo kubwa mazingira mazuri usalama upo wakutosha
Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 usafiri bajaji boda daladala
Itakuwa tayali kuhamia talee 10 /1 / 2026 kuona na kulipa ruksa
BEI TSH {400 000}=>KWA MWEZI MOJA MALIPO MIEZI (6)
GHARAMA YA KWENDA KUONA NYUMBA TSH 20000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Whatsapp O677370515
KARIBUNI KIMARA YA MWENDOKASI



















