Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200k
====
Vyumba vya kulala Viwili kimojawapo master bedroom
Sebule kubwa
Choo cha public nje
JIKO kubwa
Kila apartment inajitegemea umeme na maji
====
BEI:200,000 KWA MWEZI × 6
====
Inajitegemea umeme, Maji Dawasco yanaflow chooni. Ndani ya fence parking IPO wapangaji 2
===
Umbali KM 2.5 Bajaji zipo ukishuka unaingia ndani
===
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
=====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI