Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#AIR-CONDITION 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING KUBWA 
#GARDEN
#ULINZI NA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE KABISA NDUGU MTEJA 
BEI NI 400,000/= X 6 
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI NI DK 5 TUU KWA MIGUU 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710๐ wahiii




















