Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 4 KWA MGUU
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LAPEMBENI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 250,000X6
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670